Mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Aunty Ezekiel imeripotiwa kupata majeraha katika mkono wake wa kushoto baada ya kuchimbwa na chupa yenye ncha kali, sakata hilo la hatari lilitokea katika Club ya Billicanas...Chanzo cha ugomvi hadi leo bado kitendawili baada ya kutoka fununu kuwa huenda ugomvi huo unahusishwa na kumgombea bwana ....
HAPA AKIWA AKIWA KITANDANI AKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU
HILI NDILO JERAHA LILOTOKANA NA CHUPA
PICHA KWA HISANI YA FC