Mbali na kupigiwa kura zaidi ya nchi tano za Afrika pia nidhamu yake ndio jambo lingile lililompa ushindi msichana huyo ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Saikolojia katika chuo kikuu nchini mwao.
Mwanadada huyo alionyesha nidhamu ya hali ya juu pindi alipokuwa mjengoni hapo huku akilinda penzi la mpenzi wake ambaye alimuacha nyumbani kwao Namibia