Google PlusRSS FeedEmail

DARASA ASHINDWA KUTOKA BILA KOFIA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini miondoko ya Hip Hop,  Shariff Thabeet 'Darasa' anajikuta akiwa katika wakati mgumu pindi anapokuwa amesahau kuvaa kofi.

Msanii huyo ambaye anadai kuwa hawezi kutembea wala kujitokeza machoni kwa watu pindi anapojigundua hajavaa kofi, hali inayosababisha kuikumbuka kofi hiyo kama moja ya vazi lake.

Akipiga story na mwandishi wa habari hii, Darasa aliweka wazi kuwaalijikuta anaanza kuvaa kofi kutokana na kuwa na aibu pindi akijitokeza machoni mwa watu.

Alisema kuwa kutokana na mazoea hayo sasa kwake imekuwa ni tabi yake ya kuvaa kofi, huku kila anapotoka kofi hutumia kama vazi lake ingawa wasanii wengi wanapenda kuvaa kofia hizo.

"Kutokana na aibu niliyokuwa nayo nilijikuta napenda kuvaa kofi kila wakati lakini sasa navaa kama 'swaga' maana sasa nimeshazoea kuvaa kofi na kuwa ni moja yangu ya mavazi hata ninaponunua nguo basi kofia ni moja ya vazi langu" alisema Darasa.

Msanii huyo anajiandaa kutengeneza video ya nyimbo yake inayojulikana kwa jina la 'Weka ngoma' ambayo amemshirikisha Dito.

This entry was posted in

One Response so far.

  1. Unknown says:

    jamaa namkubali sana huyu anaijua hip hop kwel mistari yake anayoimba mara nyingi inabamba kwenye maisha ya watu wa hali ya chini kiuchumi au matatizo. Hongera darasa

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging