MAHONE AFWATA NYAYO ZA TAYLOR
Mshindi wa tuzo ya msanii bora mdogo wa Hollwood Austine Mahone, ameweka wazi kuwa anazingatia ushauri aliopewa na mwigizaji maarufu nchini Marekani Taylor Swift.
Taylor ni miongoni mwa watu maarufu ambao kwa miaka mingi hajawahi kukutwa kwenye skendo yoyote.
Mahone amesema amekuwa akimwambia mara kwa mara kuwa mtu mwema na kijana mstarabu tangu aanze masuala ya muziki na kumtaka kuendelea kuwa hivuo muda wote