MTOTO WA USHER MAHUTUTI ICU Posted on by Zourha Malisa Mtoto wa kiume wa Usher Raymond mwenye umri wa miaka 5 amelazwa hospitali katika wodi ya wagonjwa wa uangalizi (ICU), baada ya kupata ajali kwenye bwala la kuogelea