Kila mwaka wananchi wa nchi ya Barbados anapoishi muimbaji Rihanna huungana wananchi wote kusherehekea tamasha la Crop Over Carnival, ambapo kila mwaka Rihanna huungana na wananchi wengine kwa ajili ya kusherehekea tamasha hilo .
Rihanna ameonekana akiwa amevalia mavazi yanayofanana na wanawake wa kizulu wanaopatikana nchini Afrika Kusini