Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum jana usiku alimzawadia zawadi ya gari msanii nguli wa muziki wa bendi nchini Muhidini Gurumo.
Zawadi hiyo imekuja baada ya muimbaji huyo kutangaza kustaafu muziki huku akiwa hana hata baisikeli kwa kipindi chote hicho ambacho anaimba muziki.
Diamond alimpa zawadi hiyo baada ya kuzindua video yake mpya huku akidai kuwa ameamua kumzawadia mzee huyo kutokana na ukongwe wake kwenye sanaa
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







