Google PlusRSS FeedEmail

MERCY JOHNSON AANZA FUJO ZAKE

Baada ya kuwa kimya na kuonyesha sasa hataki mambo ya udada mwanamama Mercy Johnson ambaye jina lake ni kubwa kwenye tasnia ya filamu za Nollywood, ni kama ameanza kurejesha makeke yake yaliyompa umaarufu ni kuonekana akipiga picha akiwa katika mavazi na pozi tata.

Mercy ambaye ni mama wa mtoto mmoja na mke wa Odi Okogie hivi karibuni alinukuliwa akisema kuwa amekuwa na hataki kufanya matukio yatakayovuta macho ya watu hasa yakiwa kinyume cha jamii lakini amepiga picha hiyo na kuisambaza kwenye mitandao

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging