Msanii wa Young Money, Nicki Minaj anajiandaa kutoa marashi yake yaitwaiyo 'MINAJESTY'' September mwaka huu. Nicki Minaj aliweka picha za marashi hayo Instagram, na kusema hivi kuhusu harufu ya marashi hayo:
“Smells like a passionate love affair. Mysterious and sexy—an unforgettable and hypnotizing scent.”
Nicki Minaj aliwashukuru mashabiki wake kwa kununua marashi yake ya kwanza "Pink Friday" na kua bila wao yeye si chochote!!
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.