Chiwaman akiwa sambamba na danse wake kabla ya kupanda jukwaani kwa ajili ya utambulisho wa single yao mpya
Kiongozi wa kundi la wanaume famili Saidy Fella katikati akiwa na msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye sasa ameamua kuingia katika muziki wa bongo fleva pembeni ni msanii anayeunda kundi la TNG 'Chiwaman' kabla hawajapanda jukwaani kutambulisha wimbo wao mpya
Dance wa kundi la TNG wakifanya makamuzi siku ya Iddi Mosi Dar Live jijini Dar es Salaam siku ya utambulisho wa nyimbo yao mpya
Rose Ndauka akifanya makamuzi katika utambulisho wa single alioshirikishwa na kundi la TNG katika ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam