HALI iliyoibua sintofahamu kutoka kwa baadhi ya mashabiki wake ni baada ya mwanamitindo wa kimataifa nchini Marekani Amber Rose kuonenaka akiwa na tatto ya msalaba kwenye paji la uso wake.
Wiki iliyopita Amber alionekana kwenye picha iliyowashangaza wengi baada ya kuchora alama hiyo ya msalaba unaonekana ukiwa umechorwa tofauti hali ambayo baadhi ya mashabiki wamehusisha na imani za kishetani.
Msalaba huo ambao umeonekana kutolingana na kutofautiana na misalaba mingine, umeonekana juu ni chini na chini ni juu hali iliyozidi kuleta tafrani.
Amber ambaye ni mke wa Rapper Wiz Khalifa ambapo hivi karibuni walifanikiwa kupata mtoto.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








