Mtayarishaji Harvey Weinstein, amefunguka na kudai kuwa alilazimika kumshawishi muigizaji Kristen Stuart kuchati na mtoto mmoja wa familia ya kifalme ambayo hakutajwa jina ili jamaa huyo achangie dola 500,000 katika mradi wa kijamii.
Harvey ambaye alikuwa kwenye tamasha la kimataifa la Filamu la Toronto, ambalo lililenga kuchangia wahanga wa kimbunga cha Hurricane Sandy, alitoboa siri hiyo kwa kudai kwamba Kristen alitoa mchango mkubwa kwa kukubali kuzungumza na mtoto huyo wa kifalme kwa dakika 15 tu.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.