Google PlusRSS FeedEmail

EDO ATAKA WATU WASIZUNGUMZIE MAISHA YAKE



Mwigizaji Ini Edo amewajia juu wale wote wanaosambaza uzushi kuwa ni mjamzito, ambapo aliwataka wanaofanya hivyo kujadili kazi anayoifanya kuliko kujadili maisha yake binafsi.

Siku za hivi karibuni kumekuwa na tetesi zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye ni mjamzito habari hizo zilizagaa zaidi baada ya muigizaji huyo kuweka picha akiwa na mumewe akiwa ameshikilia tumbo

"Sitaki watu waingilie maisha yangu binafsi kwa kuwa kuna vitu vingi vya kuendelea kujadili " alisema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging