KIM KARDASHIANA ATOKA NA IPHONE 5S
Kwa kuonesha kuwa anaenda na wakati, na anatumia kila kitu kinachotoka Kim Kardashiana ameamua kuwaonesha mashabiki wake toleo jipya la simu ya Iphone 5s kuwa teyari anatumia simu hiyo kabla ya tarehe rasmi ya kuanza kupatikana kwa wateja wote.