Baada ya kupata ushirikiano wa kutosha kwa mashabiki wake msanii wa hip hop The Game ameamua kuanzisha mradi anaojulikana kwa jina la 'The Robin Hood' kwa ajili ya kuisaidia jamii yake hususani wasiojiweza.
Kitendo hiko kinajulikana kwa jina la kurudisha kwa jamii, ambapo msanii huyo ameamua kurudisha faida aliyoipa katika biashara zake.
The Game ameweka lengo la kuisaidia jamii yake kwa kuwapa fedha zitakazofika $1,000,000 hadi ifikapo katika shamrashamra za sikuu ya Christmas.
Msanii huyo aliweka wazi kuwa wazo la kuisaidia jamii yake baada ya kukutana na mtoto mwenye asili ya Afrika huko nchini Australia ambaye alimsimulia maisha magumu aliyokuwa nayo na familia yake na kumfanya Game apate moyo wa kumsaidia kile alichokuwa nacho.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.