Mwanamuziki mkongwe Hailu Mergia, ambaye aliacha muziki na kuwa dereva wa teksi nchini Marekani amerudi katika muziki upya.
Mwanamuziki huyo ameshawahi kufanya muziki nchini Ethiopia tangu miaka 80 akifanya na bendi mbalimbali huku huku akiwa ni mpigaji wa kinanda mahiri, amerudi na kuanza upya kufanya kazi hiyo baada ya kukaa nje miaka kadhaa.
Mergia bila ya kuweka wazi kama atarudi moja kwa moja au atakuwa anafanya muziki na kuendelea kusihi nchini Marekani
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








