Google PlusRSS FeedEmail

DRAKE KUTOKA NA BABA YAKE





Mwanamuziki Aubrey Drake Graham maarufu kwa jina la Drake, amejipanga kwa kutimiza ndoto za baba yake Dennis Agraham baada ya kumshirikisha katika wimbo 'Heat of the Moment' ambayo ni moja ya nyimbo zilizokuwemo kwenye albamu yake mpya.

Drake alisema baba yake alitamani kuwa mwanamuziki maarufu lakini hakufanikiwa kufanya hivyo na ndio maana ameamua kuimba nae ili kutimiza ndoto zake hizo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging