Google PlusRSS FeedEmail

ROCAWEAR KURUDI KATIKA SOKO








Kampuni ya nguo nchini Marekani inayojulikana kwa jina la Rocawear iliyoanzishwa na rapper nguli nchini humo Jay Z akishirikiana na Damon Dash imeamua kurudi kwa mtindo wa aina yake katika ushindani wa soko la nguo duniani.

Kampuni hiyo imeamua kurudi kwa mtindo wa kipekee kwa kumchukua mrembo Drata Michelle kuwa miongoni mwa kisura wa nguo hizo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging