Google PlusRSS FeedEmail

TYGA APONZWA NA KASHFA YA WIZI

Baada ya kuhusishwa na wizi wa vito vya thamani rapa Tyga amekuja juu na kuwa mkali kama mbogo, kwa kukasirishwa na taarifa hizo zilizotolewa zikimhususisha na wizi hali iliyopelekea kujibu mapigo hayo.

Alichoamua kufanya Tyga ni kukusanya vito vyake vyote vya dhahabu na almasi na kuvipiga picha kwa pamoja, na kuviweka katika ukurasa wake wa Twitter na kuandika maneno makali kwa wabaya wake.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging