Muimbaji wa kizazi kipya nchini Judith Wambura 'Lady Jaydee' alimtembelea malikia wa Taarabu nchini Bi. Khadija Kopa mjini Bagamoyo kwa lengo la kumjulia hali pamoja na kuomba kufanya naye kazi 'collabo'.
Msanii huyo aliwajulisha mashabiki wake kwa kupitia ukurasa wake wa Twiteet.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







