Google PlusRSS FeedEmail

VICTORIA ALIPIA TATTOO YA BECKHAM

Mwanamuziki wa zamani wa kundi la Spice Girls Victoria Beckham amempa mumewe vocha ya kwenda kujichora mwili, ambapo mwanaume huyo ni shabiki wa michoro huku akiwa ameweka idadi ya zaidi ya michoro 30 katika mwili wake.

Katika michoro hiyo Beckham hajamsahau mtoto wake wa mwisho ambaye ni kipenzi chake, Harper kwa kuandika jina lake kwenye shingo mara tu baada ya kuzaliwa mtoto huyo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging