Msanii wa miondoko ya Hip Hop Dogo Janja jana alionesha mashabiki wake kuwa yeye ni mkali wa miondoko hiyo baada ya kuwaimbisha mashabiki hao katika shoo ya Azonto
Msanii Wakazi akitumbuiza katika jukwaa hilo
Bendi ya Banana Zoro 'B band' ilikuwepo uwanjani hapo katika kutumbuiza mashabiki wake
Banana Zoro akiimba kwa hisia jana katika jukwaa hilo
Kundi la Tip Top Connection lilipanda jukwaani hapo ambapo katika hali ya kushangaza walimpandisha msanii wa Hip hop Chid Benz katika jukwaa hilo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







