Google PlusRSS FeedEmail

BURIA: KUTOKUWA NA MUME ISIWE SHIDA

Mwigizaji wa filamu nchini Nigeria, Nadia Buria amesema licha ya kuwa hana mume hiyo haimsababishi yeye kumfanya awe na uhusiano na kila mtu anayekuwa karibu naye.

Kwa mujibu wa mtandao wa Naijagists Buari alisema kuwa imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu wakiamini mwanamke akiwa hana mume basi anakuwa na uhusiano na kila mwanaume aliyekuwa karibu naye kitu ambacho si cha kweli.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging