Mwigizaji wa filamu mahiri wa nchini Marekani, Jamie Foxx amekanusha vikali taarifa kuwa anauhusiano wa kimapenzi na msanii Katie Holmes.
Taarifa za uhusiano wa nyota hao zilizagaa katika vyombo vya habari zikitaarifu kuwa Foxx (45) na Katie (34) wako kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Foxx ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Oscar aliviambia vyombo vya habari kuwa tuhuma hizo sio za kweli kwa asilimia mia moja, aliongeza kuwa alikuwa akicheza na mwanadada huyo wakati wa hafla mbalimbali za hisani na ndipo watu walianza kuhisi kuwa wana uhusiano
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








