Baada ya kuahirisha siku maalumu ya kutoa albamu yake ya sita msanii kutoka nchini Marekani Chris Brown hatimaye ametangaza tarehe yake mpya ya kuitoa albamu hiyo ambayo inatarajia kuitoa November 19 mwaka huu.
Albamu hiyo ambayo ilikuwa inatarajiwa kuachiwa July mwaka huu lakini ilisogezwa mbele kwa sababu ambazi hazikuwekwa wazi.
Albamu hiyo ambayo imeshirikisha mastaa tofauti akiwemo Ludacris, Nicki Minaj, pamoja na Kendrick Lamar itajumuisha nyimbo zake ambazo alishawahi kutoa mwaka huu