Uchambuzi wa jarida la US Weekly unaonesha kwamba nia ya kutaka kuasili mtoto kunatokana labda na mdada huyo kutokuwa na uwezo wa kuzaa.
Janet na bilionea huyo mwenye asili ya Qatar wameelezwa kuwa wanataka kuwa na familia itakayohitimisha kilele cha furaha yao.