Tamasha la Fiesta limepa fursa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum baada ya kupata nafasi ya kufanya remix ya nyimbo yake inayojulikana kwa jina la My Number One.
Msanii huyo amepata bahati hiyo ya kufanya remix ya wimbo huo na star huyo anayejulikana kwa jina la Davido kutoka nchini Nigeria ambaye alikuja nchini hapa kwa ajili ya shoo ya fiesta
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








