Google PlusRSS FeedEmail

GAGA ATUMBUIZA 'UCHI'

 MSANII wa kike asiyeisha vituko kila siku Lady Gaga amezidi kudhihirisha umma kuwa hawezi kuishi bila ya vituko ambapo kwa kipindi hiki ameamua kufanya onesho akiwa uchi Ijumaa iliyopita nchini Uingereza.

Onesho hilo lilijulikana kwa jina la GAY lilifanyika nchini humo ikiwa ni  moja ya ziara za kimuziki ya  msanii
huyo.

Lady Gaga ambaye alionekana akiwa jukwaani amevalia gauni refu lililomfunika hadi miguuni ambapo aliweza kufanya shoo hiyo.

Wakati akiendelea na shoo hiyo huku akiwa amevalia gauni hilo gafla akaanza kushusha nguo hiyo kutoka
juu hali iliyompelekea kubaki mtupu.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging