Google PlusRSS FeedEmail

JA RULE KUACHIA FILAMU YAKE MPYA

Hatimaye filamu mpya ya msanii wa muziki ambaye pia ni mcheza filamu nchini Marekani Ja Rule anatarajia kuizindua na kuoneshwa katika majumba 500 ya sinema mnamo Octoba 18 mwaka huu nchini humo.

Filamu hiyo inayojulikana kwa jina la 'I'm in Love with a Church Girl' ambapo Ja Rule ameigiza kama muuza dawa za kulevya ambaye anaacha baada ya kukutana na msichana mlokolo Adrienne Bailon, ambapo ndani ya filamu hiyo Ja Rule ametumia jina la Jeffrey Atkins

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging