Google PlusRSS FeedEmail

KHLOE AFARIJIWA NA MASHABIKI WAKE

Mbunifu wa mavazi kutoka Marekani ambaye pia ni mtangazaji Khloe Kardashian amewashukuru wapenzi wake kwa kumfariji katika kipindi kigumu cha uhusiano wake na mumewake.

Mwanadada huyo mwenye mvuto alitumia muda mwingi katika mtandao wa kijamii wa Facebook kuzungumza na washabiki wake hao huku akijibu baadhi ya meseji za kumtakia heri.

Kardashian alitumia dakika 35 tu katika mtandao ambapo jumla ya watu 9000 walitumia meseji kumpa pole.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging