
Wakati mkali huyo akifanya yake ni kwa support ya mlimbwende wa kitambo Bongo Salha Israel akisimama kama mlinzi wa binti wa kishua ni movie ambayo itatikisa na kuandika historia ya kipekee sana, kumbukumbu zinaonyesha kuwa Jack Wolper kila mzigo anaoshiriki unakuwa ni moto wa kuotea mbali kulingana na staili yake ya kubadilika kwa kila filamu.
Kila heri kwa Jack Wolper Salha miss 2011 na washiriki wote wanaopiga mzigo na kamanda Ray the Greatest kutoka RJ Company ni shughuli mwanzo mwisho







