Google PlusRSS FeedEmail

'KIFO CHANGU' YAVUJA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum amjia juu mtu anayedaiwa kuuvujisha wimbo wake katika mitandao ya kijamii unaojulikana kwa jina la 'Kifo changu'.

Msanii huyo ameonesha kuhuzunishwa na kitendo hiko cha kuvujishwa kwa nyimbo hiyo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Blog mbalimbali , ameandika kupitia ukurasa wake wa kijamii kuwa "Kuvujisha nyimbo
yangu hakuwezi kunipunguzia wala kunidhuru chochote.....sanasana utanizidishia umaarufu na kunipa show zaidi...kama nimeacha kurecord nyimbo studio kwako Uspanick, Relax tafuta msanii mwingine mkali zaidi yangu umrecordie ngoma ahit kushinda mimi... ila kuvujisha unajisumbua bure" ameandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Pamoja na hayo pia amekanusha uvumi unaodaiwa kurudiana na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu, amedai kuwa bado anamapenzi ya dhati na mpenzi  wake Penny hivyo hajarudiana na Wema.

Hivi karibuni iliripotiwa kuwa wawili hao kurudiana na kufanya penzi la kificho

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging