Muigizaji na Mtangazaji Pierra Makena, amesema akitaka kutenda dhambi ya kuwa na uhusiano na mume wa mtu basi ni lazima awe tajiri.
Pierra alisema hayo kutokana na kuenea uvumi kuwa alikuwa anamahusiano na mfanyabiashara Imma Mbaru, alifafanua kuwa hana uhusiano naye wala hajawahi kutoka naye na anamtambua kuwa ni mume wa mtu, ni miongoni mwa vitu ambavyo hatarajii kuvifanya.
"Nikitaka kutenda dhambi kutoka na mume wa mtu ni lazima awe na fedha nyingi vinginevyo sina sababu ya kufanya hivyo" alisema Pierra.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








