Google PlusRSS FeedEmail

OZAKPOLOR AIKANA KAZI YA BENKI

Muigizaji Mitchell Ozakpolor ameweka bayana sababu zilizomsababisha kuacha kufanya kazi benki ili awe muigizaji.

Alisema kuwa alikuwa na nafasi nzuri kazi lakini tangu alipokuwa anasoma alidhamiria kuwa muigizaji aliamua kuacha kazi hiyo baada ya kufanya kwa miaka miwili.

Ameongezea kuwa tangu amekuwa muigizaji maisha yake yamebadilika kwani amekuwa na furaha na uhuru wa kufanya kazi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging