RICK ROSS ATANGAZA UJIO WA ALBAMU YAKE
Hivi karibuni Rick Ross ametangaza ujio wa albamu yake mpya inayojulikana kwa jina la 'Mastermind' ambapo anatarajia kuiachia December 17 mwaka huu, Rappa huyo ametangaza uji wake huo kupitia ukurasa wake wa Twitter akiwa ameambatanisha na picha mbili








