Google PlusRSS FeedEmail

TANGAZO TOKA KWA LADY JD KWENDA KWA WALE WANAOJUA KUIMBA NA HAWAJATOKA

                                              
Nyota wa kike wa muziki hapa Tanzania Lady Jaydee pichani, ametoa taarifa hii muhimu kwaajili ya waimbaji wa kike wenye vipaji. "Tunaanza kuandikisha majina ya waimbaji wa kike tu, kuanzia kesho tar 9/10/13 saa 12:00 jioni. Pale NYUMBANI LOUNGE.

Kama unaamini unaweza kuimba nyimbo za aina zote Kiswahili, Kiingereza, Kichina hata na zingine pia, unakaribishwa.
Usaili huo utakuwa unafanyika siku za Jumatano na Alhamisi tu, kwa muda wa mwezi mzima", Lady Jaydee

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging