VIBAKA WATUMIA NENO FURSA KWA KUMWIBIA VIFAA VYA GARI MSANII MRISHO MPOTO JIJINI DAR ES SALAAM. Posted on by Unknown Mrisho Mpoto @Mrishompoto VIBAKA kweli noma- wameitafsiri fursa vibaya usiku wa kuamkia leo wametumia fursa kwa kuniibia vifaa vya gari yangu aina ya Noah,du kweli vibaka noma wametumia fursa vibaya.. , Older Post