THE GAME AKARIBISHWA KWA CHENI Posted on by Zourha Malisa Msanii wa Hip Hop nchini Marekani Rapper The Game akaribishwa katika kundi la Cash Money huku akivalisha cheni kuonesha ishara ya ukaribisho huo.