Mwigizaji Yemi Olatunji ameweka wazi kuwa mkewe anauwezo mkubwa wa kuigiza kuliko yeye, alieleza hivyo baada ya kupokea maswali mengi kutoka kwa baadhi ya mashabiki wake.
Yemi alisema kuwa mke wake ndio kila kitu hata umahili wake katika kuigiza unatokana na ushauri anau=oupata kwa mkewe huyo.
Alisema ingawa watu wengi wanafikiria kuwa yeye ni bora kuliko mkewe, ukweli ni kwamba mkewe anauwezo mkubwa zaidi katika masuala ya filamu kuliko yeye na angependa jamii ijue hilo.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








