Mwanamuziki wa Marekani Mary J Blige ameamua kuolewa baada ya kuelezewa athari za ulevi na mwanaume Kendu Isaacs, ambaye ndiye mumewake wa sasa.
Kendu aliweza kumuelezea mwanamuziki huyo athari za ulevi wa kupindukia kitu ambacho wanaume wengi walishindwa kukifanya hali iliyopelekea mwanamuziki huyo kukubali kuolewa.
Mary aliweka wazi kuwa wakati amejiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya na ulevi uliopindukia rafiki na ndugu zake walishindwa kumueleza na kuogopa kumueleza ukweli.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








