Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Sara Kaisi 'Shaa' anatarajia kuachia video yake mpya ya wimbo wa 'Sugua Gaga'.
Akizungumzia maandalizi ya video hiyo Shaa aliweka wazi kuwa maandaalizi ya video hiyo yameshakamilika kwani yameaandaliwa wiki mbili zilizopita ambapo hivi karibuni itaanza kuonekana kwenye vituo vya runinga.
Aliweka wazi kuwa anaamini video hiyo itafanya vizuri kutokana na maandalizi aliyoyafanya ikiwemo na kupiga picha ambazo zinazoonesha uwalisia wa matukio
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








