Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini miondoko ya Hip Hop Kala Jeremiah ameamua kutoa zawadi ya kufunga mwaka kwa kutoa wimbo wake mpya alioupa jina la 'Walewale', ambapo nyimbo hiyo itaenda sambamba na video yake.
Balozi huyo wa Peps ameweka wazi kuwa ameamua kufunga mwaka kwa kutoa nyimbo hiyo ambayo itaambatana na video ili kuwafanya mashabiki wake waendelee kusikiliza muziki wake, huku akiamini kuwa bado anaendelea kuliteka soko la muziki.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.