Google PlusRSS FeedEmail

RAY C ASHEREHEKEA KUTIMIZA MWAKA KUACHA DAWA ZA KULEVYA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Rehema Chalamila, 'Ray C' amesherehekea kuadhimisha mwaka mmoja tangu ameacha kutumia dawa za kulevya.

Msanii huyo amesherehekea na baadhi ya vijana wenzake ambao nao walikuwa waathirika wa matumizi ya dawa hizo za kulevya, ambapo kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ametuma picha zinazomuonesha akiwa na vijana hao wakisherehekea pamoja.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging