Baada ya kufanya wimbo na rapa Young Jeezy, na kuweza kupata mashabiki wakutosha mwanadada mrembo mwenye umbo la kuvutia K. Michelle amefanya single nyingine ambapo mara hii ameamua kumshirikisha rapa Rick Ross.
Amedaiwa kuwa ameamua kumshirikisha rapa huyo ili kuongeza mvuto kwenye kazi yake hiyo ya muziki
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








