Baada ya kuachia albamu ya nyimbo mchanganyiko iitwayo 'Dead Gal Walking' Lil Kim ameachia video ya wimbo wa 'Looks Like Mone' ambao alitambulisha Julai.
Video hiyo imejumuisha picha za video aliyerekodiwa wakati akitumbuiza stejini katika tamasha la Summer Jam akipata mlo wa jioni na rapa Lil Mama na Tiffany Foxx na pia akiwa amepakiwa kwenye pikipiki akikatiza mitaa ya Brooklyn
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








