Rapa wa kike ambaye amepata jina kwa muda mfupo Nicki Minaj amefunguka juu ya manyanyaso aliyokuwa ameyapata pindi alivyokuwa mtoto mdogo kutokana na lafudhi yake kuwa ya kigeni.
Nicki ambaye ameweka wazi katika mahojiano yake yaliyofanywa kupitia jarida la Elle, alidai kuwa alinyanyaswa na watoto wenzake kutokana na kushindwa kuongea vizuri.
Alidai kuwa waliamia Marekani kutoka nchi nyingine akiwa ameambatana na kaka yake huku wakiwa wanazungumza lafudhi nyingine tofauti , alidai alianza kuwapoteza marafiki kama njia ya kujilinda kwa sababu kila akikutana nao alijuwa wanataanza manyanyaso
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.