VIDEO YA 'SUGUA GAGA' YATOWEKA MTANDAONI
Baada ya video ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Shaa kuvunja rekodi za video zake zote kwa kuangaliwa zaidi ya watu 20,000 kwa muda wa siku tatu, video hiyo imetoweka katika mtandao wa youtube
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG