Vituko bado anaviendeleza msanii wa muziki kutoka nchini Marekani Lady Gaga ambaye ameonekana kuianza rasmi sikukuu ya X-Mass kwa kutembea na mti wa X-mass kichwani mwake.
Baadhi ya watu wengi wamezoea kupamba maua mbalimbali sebuleni na hata vyumbani kwao lakini kwa msanii huyo hali imekuwa tofauti ambapo yeye ameamua kuubeba mti huo kichwani mwake.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








