Google PlusRSS FeedEmail

MR NICE APATA SHAVU JINGINE


Msanii wa miondoko ya TAKEU aliyewahi kuvuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa
Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo. 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging