Google PlusRSS FeedEmail

ASHANTI KUJA KIVINGINE


Msanii ambaye ndiye aliyekuwa msichana pekee kwenye kundi la 'Murder Inc' Ashanti ametaja rasmi ujio wa albamu yake inayokwenda kwa jina la 'BraveHeart' ambayo inatarajiwa kutoka mwanzoni wa mwaka huu.

Albamu hiyo iliyokuwa inatazamiwa kutoka mwaka jana lakini kutokana na matatizo mbalimbali yaliyokuwa yanamkumba mwanadada huyo ndiyo yaliyopelekea kushindwa kuitoa albamu hiyo kwa kipindi hicho.

Inadaiwa kuwa mwanadada huyo teyari amesharekodi zaidi ya nyimbo 60 ndani ya miaka 5, hivyo kazi yake sasa ni kuchagua nyimbo zipi zinazofaha kuingia kwenye albamu yake.

Ambapo hivi sasa teyari ameshaachia nyimbo yake ya kwanza aliyomshirikisha Rick Ross 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging